Nampa hongera Diamond kwa kufungua kituo cha TV

Nampa hongera Diamond kwa kufungua kituo cha TV

Mm sitaki wala siko kwenye kumpongeza. Ww mpongeze kwa nafsi yako. Usituingize ns ss wengine
Kwenye jambo kama hili lazima atokee angalau mmoja apinge. Wote wakisapoti jua kuna walakini
 
Anahitaji pongezi kubwa sana na hakuna Msanii Tanzania wa kumlinganisha nae
 
Radio na Tv wasafi itakuwa na lipi Jipya zaidi ya vituo vilivyopo? Kwa lugha ya marketing what is the unique selling proposition Radio Tv wasafi?
 
Hongera sana diamond kwa bidii unazoonyesha.
 
Nikiiangalia hiyo Logo nakikumbuka chama kikubwa cha upinzani!! 🙂🙂
 
Mm sitaki wala siko kwenye kumpongeza. Ww mpongeze kwa nafsi yako. Usituingize ns ss wengine
Mimi na Mwl wangu gfsonwin kwa niaba ya wana jf wengine tunampongeza sana Diamond na kumtakia kila la kheri
 
Hongera kwake juhudi zake zimezaa matunda.
 
Si umpigie simu umpe hongera zake kwani mpaka utuambie humu?? Teh teh
 
Back
Top Bottom