Nampata wapi Dentist mzuri mjini.

Nampata wapi Dentist mzuri mjini.

mischa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
368
Reaction score
177
Nna shida ya kujua,nampata wapi dentist mzuri wa kusafisha meno yangu yana unjano,na kwa bei nafuu?
 
piga mswaki,. Mpaka kusafisha meno unahotaji mtaalam,.
 
mtafute prof flora fabian ni senior lecturer İMTU ana kliniki yake pale afrikasana karibu na tra mwenge
 
Back
Top Bottom