Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

mwambie apende kula mananasi kwa wingi yanasaidia sana,me mwenyewe nilishawai kuwa na demu wangu mmoja alikuwa na ile fishy smell,sikuwahi kuja hapa JF nikaenda kwa bwana google ndipo nika pata hiyo tiba kwa kweli ilimsaidia sana..jaribu na wewe.
 
Kuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.
Tafuta makala inayoongelea hilo tatizo chanzo, madhara na tiba yake ichukue umtumie aisome halafu umwambie akuulize maswali katika kujibu utapata namna ya kumwambia na mtaenda hospital pamoja
 
Daah! Wanaume mna moyo!!! Sehemu inanuka uvundo bado unagegeda tu na kuenjoy juu [emoji3][emoji3][emoji3]

Mi nadhani kwa upendo tu ungemkalisha uongee nae. Atakuchukia ndio ila ujumbe umefika na ushamsaidia. Au mwandikie msg nini afanye harufu itoke... Kama kunywa sana juice ya nanasi na kunywa mtindi...
 
Wanaume tumeumbwa, matesooo, mateso, kuhangaikaaaa...
 
Kuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.
Huyo kashalielewa tatizo lake..
 
Daah! Wanaume mna moyo!!! Sehemu inanuka uvundo bado unagegeda tu na kuenjoy juu [emoji3][emoji3][emoji3]

Mi nadhani kwa upendo tu ungemkalisha uongee nae. Atakuchukia ndio ila ujumbe umefika na ushamsaidia. Au mwandikie msg nini afanye harufu itoke... Kama kunywa sana juice ya nanasi na kunywa mtindi...
Kuna mtu alishakuja hapa jukwaani akaelezea juice ya nanasi!! Kuna ukweli hapo!
 
Habarini wadau,
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach ili ikiwezekana basi awe mchepuko. Alinipa shida kidogo lakini mwisho wa siku nilifanikiwa kumnasa.

Siku moja tukakubaliana kukutana faragha kwa ajili ya mchezo maalum, kweli binti yule alikuwa ameumbika mnoo. Tatizo lilikuja pale nilipopeleka mkono kwa bibi, kweli nilisikia harufu kali mnoo niliposogeza mkono puani. Nikaamua nisiendeleze mbwembwe nyingi za kyzama chumvini, nikaanza ku gegeda, kweli jamani kuna harufu ya uvundo ilikuwa inatoka kutoka kwa bibi harufu ambayo sijawahi kuisikia ktk kugegeda kwangu kote tangia nimeanza huu mchezo.

Nakiri, kwa upande wa ku sex huyu binti alikuwa anaweza mnoo. Kweli niliamua kuvumilia kwa kipindi, nikawa napata shida ni namna gani naweza kumueleza kitu kama hicho. Ikafika kipindi, nikawa namshawishi kabla ya kusex tukaoge, halafu najifanya kumuogesha huku nia ikiwa nimsafishe sana k yake, lakini cha kushangaza ilikuwa tukianza tuu kugegedana, ile harufu inatoma kama uvundo, halafu niliko kuna baridi na alikuwa anapenda tugegedane tukiwa tumejifunika blanket, basi akifanya hivyo ndo harufu yote naisikia.
Kweli, urembo wa huyu dada ulinifanya nimvumilie kwakuwa hata washkaji walikuwa wananipnea wivu mnoo ati mcheps wangu ni mkare kinyama.

Lakini kwakweli, ilifika wakati uvumilivu ulinishinda, kweli nikaamua nijitoe kwenye huu uhusiano, maana ile hali ilikuwa inanipa shida, yaani ilikuwa nikikojoa tuu nakimbilia bafuni kunawa kuondoa harufu.
Lakini kweli nakiri nilimuacha yule binti ilhali nikiwa bado nampenda, na alikuja kuingia kwenye mahusiano mengine mawili ambayo yote yalivunjika ndani ya muda mfupi. Tumekuwa tukiwasiliana, najua kwa uzuri wake na tabia yake, kinachomfanya watu wamuache ni hiyo harufu.
Sijui nifanyeje, natamani nimrudie, ila itabidi nihaki, ishe tatizo la harufu linaisha kwanza. Nao beni ushauri.
Na ukome kuna siku unanusa visivyonuswa. Tulia na ndoa yako unatafuta nini zaidi nyama ni ileile..
 
Wanaume tumeumbwa, matesooo, mateso, kuhangaikaaaa...
Tiri ri ri ri wapi TX..... huu mziki ulikua unafundisha sana na si ajabu jamaa alimpangishia nyumba ya maana. N.a hela anampatia dem na harufu ya uvundo dume anapatiwa... swadaacta hahahahahhahha
 
Nilkutana nae mmoja kwakuwa mi faza niliweza kumhandle ni simple tu...sheria namba 1.unatambua ananuka lkn tafuta pakupelekea lawama...kamwe usige mwambia ananuka sababu ananuka mwambie ananuka sababu atakuwa na maambukizi hivyo asihofu afanye mpango wa kwenda hospital au umsindikize...pili usichukulie serious sana ukiwa nae yaani muaminishe ni kawaida hiyo na zinatokea yan sio big deal...mi nakumbuka nilimwambia live kwa jinsi maumbile ya mwanamke yalivyo ni rhs kupata u.t.i na maambukizi mengine hivyo wahi nikusindikize hospital ila nilisubir km miezi 3 hv ndo nilimwambia ili akijisikia vby nisingizie hamna shida mbona mwezi yote hiyo nimelala na wewe....kitu cha msingi tafuta pakupeleka lawama usige mwambia mtoto wa watu wananuka kavu kavu bila sababu..itamuuma
Bas akawa mpole yan ht sikumwambia mambo ya kunuka k. Ila alijua tu na maanisha hiyo bas akaniambia naona aibu kwenda hospital na nimejaribu njia nyingi ila wapi...nkwambia huwez ishi hivo milele nakumbuka nkahonga 50000 akaenda hospital kweli alikuwa na infection akapona tuliachana sababu ya umalaya wangu wa ujanani..huwez shindwa kumuambia mwanamke kitu unachoshindwa ni saikolojia ya kumuingia...
 
Ingekua ni. Mke wa mtu anachepuka ungesikia mawaidha mistari ya bible ila mwanaume hakuna anayekemea. hongereni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mwanamke ni mwanamke uwezi kumlinganisha na mwanaume kwahiyo hatuwezi kwenda sawa hata siku moja
 
Wanawake wa vijijini huwa watamu sana wakiwa na hiyo harufu... maana utamu wa shimo harufu sio perfumes
 
Back
Top Bottom