uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Tafuta makala inayoongelea hilo tatizo chanzo, madhara na tiba yake ichukue umtumie aisome halafu umwambie akuulize maswali katika kujibu utapata namna ya kumwambia na mtaenda hospital pamojaKuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.
Kuna watu akili zenu mnazijua wenyew,, nmecheka mpaka wife kaamka kwel huku kunatoa strec,, ngoja nipige kimoja nirud badae kidogoDaa wanawekaga had asali ndoo mana kutamu vileee haahahahahaha dunia hii
Huyo kashalielewa tatizo lake..Kuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.
Kuna mtu alishakuja hapa jukwaani akaelezea juice ya nanasi!! Kuna ukweli hapo!Daah! Wanaume mna moyo!!! Sehemu inanuka uvundo bado unagegeda tu na kuenjoy juu [emoji3][emoji3][emoji3]
Mi nadhani kwa upendo tu ungemkalisha uongee nae. Atakuchukia ndio ila ujumbe umefika na ushamsaidia. Au mwandikie msg nini afanye harufu itoke... Kama kunywa sana juice ya nanasi na kunywa mtindi...
Na ukome kuna siku unanusa visivyonuswa. Tulia na ndoa yako unatafuta nini zaidi nyama ni ileile..Habarini wadau,
Mimi ni mwanamume mwenye mke na watoto. Kipindi fulani hapo nyuma nilikutana na binti mmoja hakika alikuwa ni mrembo kupita wastani. Nilivutiwa nae sana na nikaamua kum approach ili ikiwezekana basi awe mchepuko. Alinipa shida kidogo lakini mwisho wa siku nilifanikiwa kumnasa.
Siku moja tukakubaliana kukutana faragha kwa ajili ya mchezo maalum, kweli binti yule alikuwa ameumbika mnoo. Tatizo lilikuja pale nilipopeleka mkono kwa bibi, kweli nilisikia harufu kali mnoo niliposogeza mkono puani. Nikaamua nisiendeleze mbwembwe nyingi za kyzama chumvini, nikaanza ku gegeda, kweli jamani kuna harufu ya uvundo ilikuwa inatoka kutoka kwa bibi harufu ambayo sijawahi kuisikia ktk kugegeda kwangu kote tangia nimeanza huu mchezo.
Nakiri, kwa upande wa ku sex huyu binti alikuwa anaweza mnoo. Kweli niliamua kuvumilia kwa kipindi, nikawa napata shida ni namna gani naweza kumueleza kitu kama hicho. Ikafika kipindi, nikawa namshawishi kabla ya kusex tukaoge, halafu najifanya kumuogesha huku nia ikiwa nimsafishe sana k yake, lakini cha kushangaza ilikuwa tukianza tuu kugegedana, ile harufu inatoma kama uvundo, halafu niliko kuna baridi na alikuwa anapenda tugegedane tukiwa tumejifunika blanket, basi akifanya hivyo ndo harufu yote naisikia.
Kweli, urembo wa huyu dada ulinifanya nimvumilie kwakuwa hata washkaji walikuwa wananipnea wivu mnoo ati mcheps wangu ni mkare kinyama.
Lakini kwakweli, ilifika wakati uvumilivu ulinishinda, kweli nikaamua nijitoe kwenye huu uhusiano, maana ile hali ilikuwa inanipa shida, yaani ilikuwa nikikojoa tuu nakimbilia bafuni kunawa kuondoa harufu.
Lakini kweli nakiri nilimuacha yule binti ilhali nikiwa bado nampenda, na alikuja kuingia kwenye mahusiano mengine mawili ambayo yote yalivunjika ndani ya muda mfupi. Tumekuwa tukiwasiliana, najua kwa uzuri wake na tabia yake, kinachomfanya watu wamuache ni hiyo harufu.
Sijui nifanyeje, natamani nimrudie, ila itabidi nihaki, ishe tatizo la harufu linaisha kwanza. Nao beni ushauri.
Tiri ri ri ri wapi TX..... huu mziki ulikua unafundisha sana na si ajabu jamaa alimpangishia nyumba ya maana. N.a hela anampatia dem na harufu ya uvundo dume anapatiwa... swadaacta hahahahahhahhaWanaume tumeumbwa, matesooo, mateso, kuhangaikaaaa...
Acha afe dunia ishamshinda huyooo!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unatafuta kufa Mtu keshaoza na magonorhea sugu na kaswende juu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisaa,Mwombe mkeo ushauri ufanyaje? Kwa nini yake hainuki?
Na watoto pia awahurumie,maana duuu!!!yeye ashachoka kuishi!!Mhurumie hata huyo mkeo!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ingekua ni. Mke wa mtu anachepuka ungesikia mawaidha mistari ya bible ila mwanaume hakuna anayekemea. hongereni