Nampenda bado, lakini anatoa harufu sehemu za siri

Tukichepuka wanawake ni vita ila nyie walah ndo kwanza mnaomba ushauri wa kuchepuka vizur ..............wewe mtoa mada baki njia kuu ana kisonono uyo
 
Huyo binti ana tatizo la uyoga (yeast) kwenye papuchi yake. Mwambie amuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama amsaidie kutatua tatizo lake. Sio vzr kumuona mwenzio anaachwa kila kukicha bila kufanya jitihadi za kumsaidia...sio poa hata kidogo.
Dokta mwaka au sio
 
Mkuu unamwacha dem kisa harufu, hujawai kwenda chooni au kupita kwenye chemba za takataka, kumwacha dem kisa harufu ya k ni uzembe
 
Ko wengine k inanuka Maisha yake yote ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…