Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!
Nipe namba yake ya simu, nikusaidie kumwambia.
Hahaha! haya mambo ya kunyang'anyana tonge mdomoni lol!Hapo kwenye red inavyoonyesha ulishamwambia otherwise angejuaje kwamba unampenda,
An'way yuko mtaa gani na nyumba namba mgapi ili tukushauri vizuri
Mrembo nimewasiana nae ile night, kanipanga saturday kwa mazungumzo zaidi, sasa nipeni techniques, mambo ya kufanya na maneno mazuri ya kumpa nicje haribu!
teh! Binti ni mzuri then yupo serious sana!
kama uliekuwepo,na unachora vipicha vya love
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!