Nampenda bt naogopa kumwambia!

Nampenda bt naogopa kumwambia!

Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!

Hapo kwenye red inavyoonyesha ulishamwambia otherwise angejuaje kwamba unampenda,
An'way yuko mtaa gani na nyumba namba mgapi ili tukushauri vizuri
 
Hapo kwenye red inavyoonyesha ulishamwambia otherwise angejuaje kwamba unampenda,
An'way yuko mtaa gani na nyumba namba mgapi ili tukushauri vizuri
Hahaha! haya mambo ya kunyang'anyana tonge mdomoni lol!
 
Mrembo nimewasiana nae ile night, kanipanga saturday kwa mazungumzo zaidi, sasa nipeni techniques, mambo ya kufanya na maneno mazuri ya kumpa nicje haribu!

ushauri wangu ni ule ule. Mwambie moyo wako umemdondokea, mchanganye mate na mbambanishe makojoleo. Sawa eeh?
 
umri upo safi 27yrs now, kazi, kipato kipo pia, mapenz ndio stil kizungumkuti. Nampenda thats why naogopa kumpoteza na ndio sababu mie kuwaomba nyie skills fulan juu ya haya mambo!
 
teh! Binti ni mzuri then yupo serious sana!
 
teh! Binti ni mzuri then yupo serious sana!

Hao wasichana walio serious ndio rahisi sana kuwaingia huwa wanaover do tu userious wao ili wanaume wawaogope cause wanajua weakness zao we tupa ndoano uone kama hajaanza kung'ata kucha
 
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!

Simu unayo yenye mp3?hebu downloadTimbulo_Domo Langu free mp3

Then ukimuona anakuja kwa mbali unaplay hilo song,ukifanya mara mbili tatu lazima akuelewe,asipokuelewa achana naye itakuwa ana moyo dume huyo!
 
Mwambie ,sukuma kombora akikumwaga wewe s mwanamume bwana ,, ila hana bwana kwanza??
 
Back
Top Bottom