Nampenda Diva wa clouds and namtafuta please

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
nikisikia sauti yake huwa napagawa and nikachukua hatua ya kumsaka kwa blog yake,kiukweli she is hot and naitaji awe myn. najua humu ndani wapo wanaomjua mpeni tu habari mr from a town nampenda......friends mnaeza nisaidia kwa kuniunganisha nae even nipate# zake.......I WISH TO BE WITH U DIVA AND THIS IS SERIOUS,IN NOT A CELEBRITY BUT I LOVE U.
 
Clouds FM Mikocheni hupajui?
 
chakula ya cmb prezzo hiyo. lakin prezzo anamega kisela.
pia automuweza. alimtema mbunge kijana wa kigoma muheshimiwa nyepesi
 
jamani mi nampenda ivoivo sijui kanipa nini jamani daah, she deserve to be mine.
 
mipodo ile, mle "make up" tupu...yaani ukikutana naye anatoka kuamka utamkimbia.
 
Unaitaj nini toka kwake
true luv?
luv 4 fame?
in luv with famous?
marriage?
......
mjomba fanya yako....
 
Miongon mwa wadada wasio na mvuto Clouda nayy yumo,umependa sauti hlo umbo na sura utavkmbia,dem ka anataka piga penati bhana.
 
doh...KUPE....AAAH KUPENDA,HAMJAMBO,SHEMEJIIII NAPITAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…