Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 680
nikisikia sauti yake huwa napagawa and nikachukua hatua ya kumsaka kwa blog yake,kiukweli she is hot and naitaji awe myn. najua humu ndani wapo wanaomjua mpeni tu habari mr from a town nampenda......friends mnaeza nisaidia kwa kuniunganisha nae even nipate# zake.......I WISH TO BE WITH U DIVA AND THIS IS SERIOUS,IN NOT A CELEBRITY BUT I LOVE U.