Nampenda Evelylin Salt

Naona jamaa anataka kufungua ukurasa upya wa mapenzi na rais mupiya
 
Mbona kama unaitaka unajiuliza sana bana,ndio mimi ni......

Kwani wewe hauendagi gengeni?anyway, ebu achana kwanza na hii mihogo ya jang'ombe maana ilikuwepo tangu enzi za mababu, then soma kwanza mtoto ukimaliza shule utaikuta ya size mbali mbali na ya langi mbali mbali,mikono ya sweta as well yeboyebo(iliyokatwa)
 
Nenda PM umtafute,ili utimize haja ya moyo wako
 

Nasikia nikakaa sana ntapata kutu ndo maana nna.....
 
Ha ha ha eeh nimeona nijifungukie na kujiletea pozi mwenyewe
Teh Teh .....
Mpendwa naona muujiza unaenda kutendeka nimeoteshwa nitapata mchumba hapa

Ni Kweli nipo form two, ni mchumba for future use

Ha ha ha inanidisturb navumilia tu nimalize shule nikaitupilie mbali huko

Tena jibaba la miraba minne, bonge la kitambi bore la upara.... Papaa evelyn salt

Yule anaishi tambaautwikekapulanyege shem
 
Eeeh nipo pwani ila shule ya girls

.vipi kile chombo cha Italy bado hakijatia timu Bongo, masomo yake anamaliza lini?.
.akirudi tu usinisahau kwenye ufalme wenu, manake nakaribia umri wa KUOA, siku ukimpokea tu nipe taarifa, najua huu mwaka utamalizika vizuriiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…