Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama unaitaka unajiuliza sana bana,ndio mimi ni......
JF ilivyo unaweza kuta Evelyn Salt ni jibaba
Kwani wewe hauendagi gengeni?anyway, ebu achana kwanza na hii mihogo ya jang'ombe maana ilikuwepo tangu enzi za mababu, then soma kwanza mtoto ukimaliza shule utaikuta ya size mbali mbali na ya langi mbali mbali,mikono ya sweta as well yeboyebo(iliyokatwa)
Nasikia nikakaa sana ntapata kutu ndo maana nna.....
Piga kazi mama, usiogope. Tumia ulichonacho wakati bado unanguvu
Tena lenye midevu mpaka kunako
Teh Teh .....Ha ha ha eeh nimeona nijifungukie na kujiletea pozi mwenyewe
Mpendwa naona muujiza unaenda kutendeka nimeoteshwa nitapata mchumba hapa
Ni Kweli nipo form two, ni mchumba for future use
Ha ha ha inanidisturb navumilia tu nimalize shule nikaitupilie mbali huko
Tena jibaba la miraba minne, bonge la kitambi bore la upara.... Papaa evelyn salt
Yule anaishi tambaautwikekapulanyege shem
Teh Teh .....
Ni Kweli nipo form two, ni mchumba for future use
.mmmh!!!
Ndio hivo
.ngoja siku nikirudi TZ nikutafute, ulisema wasomea Moro au Pwani?..
.please nidanganye nafsi yangu iridhike.
Eeeh nipo pwani ila shule ya girls