Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni vyema huo wimbo ungemfundisha mleta uzi ili bibie Eve atakapoibukia hapa amwimbi ili kumshawishi kirahisi...
Ohooo...basi mleta uzi aandae mia tisa tu,itapendeza![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Umesahau Eve moyo wake hupondeka akiona unamiliki maburungutu kama ya yule waziri wa kule Roma anakotaka kwenda?
Hahaha kwa Eve hiyo ni bei ya busu, akifanya mara 1000 yake haitadhuruOhooo...basi mleta uzi aandae mia tisa tu,itapendeza!
Nirebishaje mkuuRekebisha huo mwandiko hata ukimwita aje chaaap
Mpunga upo tu mkuuTafuta mpunga wewe ndie utakaetafutwa sio kulia lia humu haisadii kitu...
Sana mkuuEvelyn Salt ukuje huku dr shika limoyo limemdondokea
Hata nikinywa mkuu bad itakuwa shidaMkuu hebu kunywa maji ushushe huo mchecheto wa moyo, inaonyesha moyo uko kwenye vibration isiyo ya kawaida.
Sawa mkuu ngoja ajeMUWAHI HUYO BADO HAJAOLEWA
Nashangaa sijui sijui kwa nn haisikii hili jogooEvelyn sikia hii jogoo venye anawika
AlaaMimi mwenyewe simjui, ila tulikutana kwenye kampeni za TANU huko Ujiji.[emoji40]
MhengaOhooo! Kweli hiyo fani ya kughiribu uliianza kitambo...tangu enzi za TANU tena Ujiji?
Huyo bibie ni mtusi au mbemba?
Na ss wadogo tusikilizweChakula Cha Wakubwa icho
Haina shida namsubiriOhooo...basi mleta uzi aandae mia tisa tu,itapendeza!
Mkuu mbona unamsemeaHahaha kwa Eve hiyo ni bei ya busu, akifanya mara 1000 yake haitadhuru
Hakuna maji marefu kwenye kupenda mkuu tutaogelea tuMnapenda maji marefu. Mkizama mnalia.
Umempendea niniHakuna maji marefu kwenye kupenda mkuu tutaogelea tu
mizigo mbona mingii tena mizuri mbaya...Mpunga upo tu mkuu