Nampenda Evelyn Salt

Nampenda Evelyn Salt

Uzuri Evelyn salt mwenyewe anajua kama nampenda ila kuna watu wanampenda wameshindwa kujieleza sasa wananiwekea mikwara mm mhenga bwana sitishiwi nyau.[emoji13] [emoji12] [emoji2]
Ameshakuwa proposed na tumeshakula mahari yake sasa kama unamhitaji tunafanya kama uhamisho wa mcheza soka, unatoka fungu la kuvunja mkataba wa kwanza kisha unatoa ada ya uhamisho na uweke wazi mshahara wake kwa wiki utakuwa Pound ngapi na benefits gani nyingine atakuwa anazipata kwako ili tuone kama wewe ni bidder anayefaa usije kutuletea yale ya Dr Louis hapa!
 
Mkuu baby ameisha jibu mm sina la ziada nasubiri permission ya kuingia in box.
Dr. Luis ameahaanza kulipa mkuu yuko sawa
 
Mke wa mwenzio huyo. Tena mumewe anaweza kukupiga sindano ya maji ukajifia pole pole. Sitaki kuzika watoto, tafuta ndungaembe yapo kibao.
 
Maswali magumu hayo, onyo ni kitu kizuri hasa kwa ndugu kama wewe
Mkuu [emoji13] [emoji13] unaharibia nadhani unanionea wivu nichagua kitu cha kiwango unajua ss wahenga huwa hatubahatishi uniachie ni wangu
 
Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Nimemuuliza hivyo Nina maana kwamba.
Picha sio yako. Jina sio lako. Sasa amekupendea nini
Jina au hyo picha ambayo sio wewe. Hyo ndo maana yangu.
 
Kwa hiyo ulifumliwa kweli
Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPH
 
Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Umeanza manjonjo yako
 
Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPH
Halafu huo umbea wako siupendi (serious)
 
Back
Top Bottom