Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
- Thread starter
- #81
Thanks ma love come on ma sweetie i need you baby so much i love you naomba idhini ya kuingia pmusijibu wasije kukuteka bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks ma love come on ma sweetie i need you baby so much i love you naomba idhini ya kuingia pmusijibu wasije kukuteka bure
Ameshakuwa proposed na tumeshakula mahari yake sasa kama unamhitaji tunafanya kama uhamisho wa mcheza soka, unatoka fungu la kuvunja mkataba wa kwanza kisha unatoa ada ya uhamisho na uweke wazi mshahara wake kwa wiki utakuwa Pound ngapi na benefits gani nyingine atakuwa anazipata kwako ili tuone kama wewe ni bidder anayefaa usije kutuletea yale ya Dr Louis hapa!Uzuri Evelyn salt mwenyewe anajua kama nampenda ila kuna watu wanampenda wameshindwa kujieleza sasa wananiwekea mikwara mm mhenga bwana sitishiwi nyau.[emoji13] [emoji12] [emoji2]
Mkuu baby ameisha jibu mm sina la ziada nasubiri permission ya kuingia in box.Ameshakuwa proposed na tumeshakula mahari yake sasa kama unamhitaji tunafanya kama uhamisho wa mcheza soka, unatoka fungu la kuvunja mkataba wa kwanza kisha unatoa ada ya uhamisho na uweke wazi mshahara wake kwa wiki utakuwa Pound ngapi na benefits gani nyingine atakuwa anazipata kwako ili tuone kama wewe ni bidder anayefaa usije kutuletea yale ya Dr Louis hapa!
Chuma ya watu mkuu!Kwa nn mkuu
Bora hata umemuulizaMkuu kwani ulisha wahi kutatua?
Maana wahenga wanasema asifiaye mvua imenyea
Unafahamu wimbo wa usichezee chatu ( ), ukimtamani Evelyn Salt au Madame B , hao walimu ni sawa na kuchezea chatu, marinda ndiyo bye bye. Sasa swali, je bado marinda unayapenda au huoni shida kuyaweka rehani!
Mkuu jibu ulishafumuliwaTushakufumua yako?
Baby hawa ni watu wenye wivu wanataka kutuchonganisha.Bora hata umemuuliza
[emoji23]Nshamfata pm mhenga mwenzangu kumbe mnasubiri majibu hapa?
Umesahau?Tushakufumua yako?
Maswali magumu hayo, onyo ni kitu kizuri hasa kwa ndugu kama weweMkuu kwani ww tayari umefumuliwa marinda mara ngapi na hao hebu tupe ushuhuda
Mkuu [emoji13] [emoji13] unaharibia nadhani unanionea wivu nichagua kitu cha kiwango unajua ss wahenga huwa hatubahatishi uniachie ni wanguMaswali magumu hayo, onyo ni kitu kizuri hasa kwa ndugu kama wewe
Kwa hiyo ulifumliwa kweliUmesahau?
Unacho mwenyewe. Nitampa vipi Mimi. Wewe ndo unatakiwa umpe. Kwangu tutadindiana tu.Akikuambia alichonipendea utampa???
Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamkeUnacho mwenyewe. Nitampa vipi Mimi. Wewe ndo unatakiwa umpe. Kwangu tutadindiana tu.
Nimemuuliza hivyo Nina maana kwamba.Sasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPHKwa hiyo ulifumliwa kweli
Umeanza manjonjo yakoSasa mwanaume hutakiwi kuuliza swali la hivo kwa mwanaume mwenzio kuwa kanipendea nini, ni kama vile unacho cha ziada kujilinganisha na mie.... Kama kapenda wowowo basi we unalo la haja. Bora angeuliza mwanamke
Halafu huo umbea wako siupendi (serious)Hujui hawa walimu ni watani zangu? Hasa anayesubiri kijacho (ati moyo wako umemdondokea). Mwanaume ni afadhali afe kuliko kufumuliwa marinda. Isipokuwa kama ni kutibiwa ugonjwa kama hemicolectomy, Hemorrhoidectomy au Kupima BPH