Nampenda Fatma Shimweta

psy

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
40
Reaction score
4
Ni mtangazaji wa Star tv, Anaitwa Fatma Shimweta. dah nakapenda haka kadada jamani mie.

Mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.
 
Google utajua mpaka kwake anapoishi
 
Anaitwa fatma shimweta...dah nakapenda haka kadada jaman mie..mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.....

vitu vingine kama hivi ungelitumia other alternatives kama google, facebook ama website ya star tv na ukatafuta 'contact us' ungepata full detail.

by the way, mnasema mapenzi ni upofu, unguza nauli mpaka mwanza umtafute binti wa watu, ila usijipe credit 100% kwamba utakubaliwa.

ngoja nikupe direction vizuri,

ofisi kuu za star tv na redio free africa ziko mwanza mjini kati kabisa ya jiji,

itafute New Mwanza hotel ama Gold crest, almost zote hizi ziko kwenye round about flani ambayo inaangaliana na jengo la PPF.

ukifika hapo kwenye mijengo niliyokutajia, itafute barabara inayoelekea stesheni (pembeni yake kuna kituo cha mafuta), ifuate hio barabara kama mita 30 hivi.

baada ya hapo, mkono wako wa kulia (kuwa makini sana, mwanza ni jiji unaweza potea) utaona bango kubwa la SAHARA COMMUNICATION MEDIA.

ingia ofisini kwa msaada zaidi. kuna mama mmoja hivi anahusika sana, anaweza kukusaidia!

karibu sana mwanza!!
 
Asante mkuu...wanikatisha tamaa lakin
 
Anaitwa fatma shimweta...dah nakapenda haka kadada jaman mie..mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.....

Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu
 
Anaitwa fatma shimweta...dah nakapenda haka kadada jaman mie..mwenye more detail zake aziweke hapa wadau.....

Hivi yule binti yake alishajifungua? maana mara ya mwisho nilipokuwa naye Mwanza 2013 aliniambia anatarajia kupata mjukuu wake wa pili very soon!!!
 
hili nalo
 
fatma n husna
 
Attachments

  • 1392193033309.jpg
    10.8 KB · Views: 498
Hivi yule binti yake alishajifungua? maana mara ya mwisho nilipokuwa naye Mwanza 2013 aliniambia anatarajia kupata mjukuu wake wa pili very soon!!!

ana mtoto mkubwa kiasi hiko..........
 
Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu

Yahya ndio alikuwa mume wake....huwa yuko smart sana huyo kaka.......very smart
 
Sasa atapoteaje tena wkt ushatoa ramani.
 
Unaonesha wewe mwanza ni mwnyeji sana eeh

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…