Nampenda heaven on earth

unakumbuka kuna siku kama tulizinguana kidogo nlipokwambia kuwa we ni me ila unajidai ni ke?

ile siku nakumbuka,nilijiuliza tu hivi
kwanini huyu Nicas Mtei kaniambia hivi.....

sikupataga majibu,but I can see the connection now
 
Last edited by a moderator:
aiseee mzeee katupe up dates za ngoma mpya ya diamond ndio utampata Heaven on earth japo unataka tuamini unatania. naamini wewe si kichaa kuchukua muda wako na kuanzisha thread.
 
Last edited by a moderator:
yaani nlipokuja kujua tofauti nlikuwa mdogo kama piriton ndo ikabidi niombe radhi kwa kweli... kila nkiona id yako nakumbuka siku ile.. hahahahahahah

hahaaa ngoja nicheke tu mie hapa.......
ukawa unajua huyo me anatutega tu num ndani
 
Jaman mapenz yanaamtatiza ee! Jaman mapenzi yanaa mtatiza eee! Kulala hawezi,kusoma haawezii,chakula hataki akiona chuungu! Teh! Heaven ..! Mwenzako kakudondokea!
 
Eti unampenda tu...lakini sio kimapenzi hahaha!!!
 
Huyu si ndo msemajio wa Diamond huku jamvini ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…