The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Huyu si ndo msemajio wa Diamond huku jamvini ama?
Ndo huyo huyo
sasa mashemeji mtapata complimentary tickets za bure kwa show zoote za Diamond lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si ndo msemajio wa Diamond huku jamvini ama?
Ndo huyo huyo
sasa mashemeji mtapata complimentary tickets za bure kwa show zoote za Diamond lol
hahaha,,,,si mpaka tukubali...naona anamu-under-estimate sana huyu Heaven on earth.....au ndo kukosa kitu cha kupost kabisa lo
Huyu si ndo msemajio wa Diamond huku jamvini ama?
mabwaku!!!!!!!!!
nimeshindwa hata kushangaa mie!!!!!!!!!
guneni tu wapendwa is the least you can do kwa sasa!!!!!!!!
mgeni wako huyo best! mgeni akija anza kusafisha mji, ua mbu, hamisha watu! ah ah ah ah!
shansarie acha tu,nimefurahi lakini!!!!!hongera umepata kaka
umependwa wewewwweee!!! oh, bahat comes once...
Kaizer Kaizer.......,hahaha,,,,si mpaka tukubali...naona anamu-under-estimate sana huyu Heaven on earth.....au ndo kukosa kitu cha kupost kabisa lo
Mmewahi onana face to face au unampenda tu kama alivyo kwenye Avatar yake.Wabongo bana wanawaza mapenzi tu....kumpenda mtu mpaka mapenzi??siko kwenye mapenz mie but nampenda tu kama unavyoweza mpenda mama ako or mtu yeyote unayevutiwa na anchokifanya
miss strong acha tu ila niseme asante......Ndo upendo mzur huo......!hongera.
Mmewahi onana face to face au unampenda tu kama alivyo kwenye Avatar yake.
Ndo huyo huyo
sasa mashemeji mtapata complimentary tickets za bure kwa show zoote za Diamond lol
Huyu si ndo msemajio wa Diamond huku jamvini ama?
Kaizer umeona.......,official diamond's blogger&I.T
hata cjui kwa nini ,labda kwa sababu tunafanana ID..nampenda tu lakin(SIYO KIMAPENZI BAUNGWANA MSINISHAMBULIE BURE)
NASISITIZA TENA SIY KMAPENZI MANA WATANGANYIKA MKISIKIA KUPENDA MNAWAZA MENGINE TU
Ndo upendo mzur huo......!hongera.