Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mokoyo ILA UMEIONA LAKINI SA HIVI!!!!!!Kumbe hii thread ipo, mbona hunishtui mpenzi Heaven on earth?
mabwaku!!!!!!!!!
nimeshindwa hata kushangaa mie!!!!!!!!!
Ndio huyo ni wiii wako kwa sasa, umefurahije??????
nimefurahi sana nataka tu 😛arty:😛arty:😛arty: kumkaribisha wii
kwenye ufalme wako!!!!!!!!!
kwahiyo, umemjibu vipi? manake jamaa mwenyewe mjanja mjanja sana anasomeka
Toria wifi wako wa ukweli niko hapa..........Afadhali kama wifi ndio 3rd party inanipa moyo huyu ndege hatokuja kupeperuka
kwahiyo, umemjibu vipi? manake jamaa mwenyewe mjanja mjanja sana anasomeka
PM zinaongea sana jiandaeni kwenda kwenye
ma Concert ya Diamond Platinum!!!!!!!!!!!!
Usijali wifi nna uhakika jembe langu @TheDealer amekuskia
Mokoyo nna cha kumjibu basi!!!!!!sijakuelewa mydia
hata cjui kwa nini ,labda kwa sababu tunafanana ID..nampenda tu lakin(SIYO KIMAPENZI BAUNGWANA MSINISHAMBULIE BURE)
NASISITIZA TENA SIY KMAPENZI MANA WATANGANYIKA MKISIKIA KUPENDA MNAWAZA MENGINE TU