Nampenda huyu dada,lakini ananikatisha tamaa!nifanyaje mie??

Nampenda huyu dada,lakini ananikatisha tamaa!nifanyaje mie??

Mwenzio kasha kata tamaa, hawezi amini wanaume. Kwaiyo vizuri kakuambia wazi na ukweli.
Hapo ni kama game kaka angu. Utaishi bila uhakika.

Piga kimya, atakutafuta, nawe mwambie kavu hautaki kuchezeana upo serious, na utakuwa unaumia kumuona face yake bila kuwa nae

Usiongelee mapenzi tena,kuwa rafiki,hata hivyo january na sasa ni muda mfupi sana kwa yeye kuendelea na maisha yake,mpe muda amsahau huyo ex.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
sawa Nyabaheta,najitahidi kutoongelea mapenz lakini kesho nataka nimfanyie suprises ya zawadi za valentine,au nitaharibu tena??
 
Asante miss malima!nataman aniamini ninachomwambia,,
 
Back
Top Bottom