Nampenda huyu kaka

Nampenda huyu kaka

Okya

Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
34
Reaction score
7
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie namna ya kumpata huyu jamaa au haweze kunitamkia anipenda. Nampenda sana kiasi nikilala lazima kwanza nimuweze ndio napata usingizi please wana JF nisaidieni niondokane na hili tatizo.
 
NiPM tu nitakuelewa na kukutatulia tatizo lako
 
nawe domo zege nini si mwambiage tu kuwa unamlove we vipi
 
Anzisha ukaribu hata wa hi, but not as friend. Eye contacts sometimes does the magic au msifie akiwa ametoka bomba.

Nasisitiza usiweke ukaka na dada kama kianzio utaharibu the whole idea.
 
usimwambie, wanamme watata sana ukifika bei.

Mzoee tuuuu, afu kama ana kahisia kokote na kichwani zinzchaji, atajiongeza.
 
kibelaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! kumbe wew ni she....????
 
Mhh..hivi na nyie wanake nao huwa mnapendaga eeh?
 
Power of LOVE. Sema kuwa wazi kwake lakini baada ya kujenga urafiki wa mbali. Yaani atambue uwepo wako katika jamii halafu mpelekee moto.
 
Ungefunguka zaidi tungejua uko naye karibu kiasi gani ingetuwia rahisi kidogo.
Jaribu kujua anapendelea nini
Hata kama wewe hupendi hicho anachokipenda fanya usanii angalao kuanzia
Usiwe bahili, mwalike kwa juice lunch nk
Sifu kila afanyacho ingawa kwa uangalifu maana sio yote yanafaa kusifiwa
Chunguza weekend huwa anapenda kwenda viwanja gani na wewe jichanganye huko (kama kanisani na wewe nenda huko)
Let your eyes talk!
 
Inshallah mwenyezi mungu atakusogezea karibu kama ana kheir na wewe,lakini usiji shushe sanaaaaaaaaa,nenda nae mdogo mdogo ili ujue kama kuna mwenzio au laa....
 
Actions speak louder than words..jitahidi kumzoea,mjali,msifie akifanya mazuri,yeye mwenyewe ataisoma namba
 
Pole sana dada..... Hata siku moja usijaribu kufunguka kwa mwanaume kuwa unampenda hasa kaw kumwambie... kuna wengine wana-take for granted kwa umejirahisisha mwenyewe nakutumia thn anakuacha wka vile tu wewe ndo umeanza. tumia akili zaidi kukliko moyo la sivyo utatumiwa thn utaachwa... Sio utamaduni wetu kumuanza mwanaume hata siku moja.... wanaume wana msemo wao "chapa ilale" ogopa sana hiyo ukijilengesha anachapa afu nakula kona!
 
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani aniambie chochote nimfanyie,natamani kumuanza naogopa pengine anahisia zozote juu yangu,Naomba mnisaidie namna ya kumpata huyu jamaa au haweze kunitamkia anipenda. Nampenda sana kiasi nikilala lazima kwanza nimuweze ndio napata usingizi please wana JF nisaidieni niondokane na hili tatizo.

Okya kuwa mwangalifu sana na spirit of lust..............................ukiona roho yako imepagawa mkatae kwani huko mbele atakuja kukusumbua na wewe utaumia sana.....................sikushauri uchome mafuta hapo..............
 
Back
Top Bottom