Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga nilimuomba afungue hajajibu sijui nilimfanyaje id yake inaanza na e.... Nataka awe mpaka mama wa watoto wangu.