Nampenda huyu memba

MrLove

Member
Joined
May 26, 2024
Posts
35
Reaction score
113
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga nilimuomba afungue hajajibu sijui nilimfanyaje id yake inaanza na e.... Nataka awe mpaka mama wa watoto wangu.
 
Hii nchi ina Vijana wapumbavu sana,yaani unamtaka mwanamke na bado unamwandikia kwa mafumbo?

Kwanini usimtag hapa ili ajue anapendwa?,Wakati wewe unaendelea kusitasita,wenzio wanamsukumia mianzi ya kutosha!
 
Kuna uzi ulianzishwaga humu kichwa cha habari " Nakupenda mane.....".
Chini akasindikiza " acha tu nikikupata ntakupinda kwelikweli".
Sasa wewe mbona umeandika kinyonge namna hii.unaogopa nini?
Mchane bila hofu bhana .
 

Toka hapa acha kumsumbua manzi angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…