sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Wewe Kazi yako ni kujua watu...Achana nae huyo! Nishamjua ni nani
Hujambo mdada WA morning glory
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Kazi yako ni kujua watu...Achana nae huyo! Nishamjua ni nani
unataka kusemaje sasa mheshimiwa 🤣🤣🤣Alianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,
WHO IS NEXT? Maua Sama Komasava?
NB: HAO wote nimewataja hapo sasa wamepoa km UJI wa mgonjwa wameshapata visugulio vya JF sasa wametulia tuliii ukimuondoa Lamomy na Kapeace
EeehKasema jina linaanzia na E.
Wajuba washakuvuruga we kaoshe utulie leo j3Unauza kisamvu cha KOPO walume tuje kukinunua tutowekeze MATONGE kwenye HICHO kiKOPO
Unanisaka hunichoki kitulize basi Kapeace Mimi SIPO tayari kuchezea hilo TOPEWajuba washakuvuruga we kaoshe utulie leo j3
🖕🖕chezea hivyo kwanzaUnanisaka hunichoki kitulize basi Kapeace Mimi SIPO tayari kuchezea hilo TOPE
Kapeace tulia basi nimekwambia SITAKI kuchezea hilo TOPE lako hausikii? Kitulize hicho kisamvu cha KOPO🖕🖕chezea hivyo kwanza
🤣🤣🤣Mrs Luka njoo utoe majibu apa kwa nini unamchunia mwamba?
Acha kutuonea wivu umepewa kitobo nawe kitumieKapeace tulia basi nimekwambia SITAKI kuchezea hilo TOPE lako hausikii? Kitulize hicho kisamvu cha KOPO
Daaah kama huyu mwamba anaitwa Extrovert ana mwandiko flani hivi wa kihuniiiHujawahi kukutana na muandiko wa Lara1 na Mzigua90. Unajikuta tu ushapenda muandiko kabla ya kumuona muhusika.
Yaani 🤣 🤣 mtu yupo na fake ID ila bado anauma uma manenoHii nchi ina Vijana wapumbavu sana,yaani unamtaka mwanamke na bado unamwandikia kwa mafumbo?
Kwanini usimtag hapa ili ajue anapendwa?,Wakati wewe unaendelea kusitasita,wenzio wanamsukumia mianzi ya kutosha!
Kwa HIO sababu umepewa unakitumia vizuri HICHO kiTOBO chako au SIO?Acha kutuonea wivu umepewa kitobo nawe kitumie
Msamehe ni mgeniMe nikiona mwanaume anachanganyikiwa na izi ID za kike uku JF huwa namuona kama mjinga tu. Kwanza utampendaje mtu usiemjua ?
Acha ungeseko weweYy ana avatar ya kiatu
Mwambie ephen nampndaUpo tayari kuruka fensi mkuu?
Unamaanisha nitapigwa sana vichwa? 😂 😂 😂Upo tayari kuruka fensi mkuu?