Nampenda huyu memba

unataka kusemaje sasa mheshimiwa 🀣🀣🀣
 
Hii nchi ina Vijana wapumbavu sana,yaani unamtaka mwanamke na bado unamwandikia kwa mafumbo?

Kwanini usimtag hapa ili ajue anapendwa?,Wakati wewe unaendelea kusitasita,wenzio wanamsukumia mianzi ya kutosha!
Yaani 🀣 🀣 mtu yupo na fake ID ila bado anauma uma maneno
 
Dear E unapendwa sana na huyu Mr Luka, jitokeze popote ulipo uupoze mtima wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…