Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 337 Reaction score 753 May 27, 2024 #221 instagramer said: Acha ungeseko wewe Click to expand... Imebidi niangalie avatar kwanza, alipaswa aelezee ni viatu vya aina gani π
instagramer said: Acha ungeseko wewe Click to expand... Imebidi niangalie avatar kwanza, alipaswa aelezee ni viatu vya aina gani π
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 May 27, 2024 #222 Joined Yesterday π€π€
instagramer JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 215 Reaction score 492 May 28, 2024 #223 Razorblade said: Imebidi niangalie avatar kwanza, alipaswa aelezee ni viatu vya aina gani π Click to expand... Si ndio apo bana.... Au mwenzetu anashiriki Ile mambo, so kaniona kidume nna kiatu kikali kaelewa..π π
Razorblade said: Imebidi niangalie avatar kwanza, alipaswa aelezee ni viatu vya aina gani π Click to expand... Si ndio apo bana.... Au mwenzetu anashiriki Ile mambo, so kaniona kidume nna kiatu kikali kaelewa..π π
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 337 Reaction score 753 May 28, 2024 #224 instagramer said: Si ndio apo bana.... Au mwenzetu anashiriki Ile mambo, so kaniona kidume nna kiatu kikali kaelewa..π π Click to expand... Angeweka wazi ID ya mtu husika mapema kuliko kuhusisha viatu, amekukosea sana π.
instagramer said: Si ndio apo bana.... Au mwenzetu anashiriki Ile mambo, so kaniona kidume nna kiatu kikali kaelewa..π π Click to expand... Angeweka wazi ID ya mtu husika mapema kuliko kuhusisha viatu, amekukosea sana π.
instagramer JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 215 Reaction score 492 May 28, 2024 #225 Razorblade said: Angeweka wazi ID ya mtu husika mapema kuliko kuhusisha viatu, amekukosea sana π. Click to expand... Nimelia sana..
Razorblade said: Angeweka wazi ID ya mtu husika mapema kuliko kuhusisha viatu, amekukosea sana π. Click to expand... Nimelia sana..