Nampenda huyu memba

Ephen
 
Joanah wa jeiefu moyo wangu umekudondokea naomba unikubalie niwe wako wa ubani 😊😊😊

Hii ni intro ya uzi ujao wa kudondokeana mamioyo nitaouandika...
Wewe ukinitaka mbona chap tu
Huna haja ya kufikia kuandika uzi wala kubadili aidii πŸ€—
 
Kila la kheri,mwisho wa siku usimkate mapanga mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…