Nampenda huyu memba

Mapenzi upofu
 
Mwanaume mwenzio HUYO anaitwa ephen_ wewe jichanganye ukakutane na UKUNI sasa utaamua unaachia Linda litatuliwe au unapakaa Oil Chafu

Imeletwa kwako: Kwa Hisani ya Watu wa JF
 
poromosha mitusi kam uyo jamaa apo juu
Alianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,

WHO IS NEXT? Maua Sama Komasava?

NB: HAO wote nimewataja hapo sasa wamepoa km UJI wa mgonjwa wameshapata visugulio vya JF sasa wametulia tuliii ukimuondoa Lamomy na Kapeace
 
Mwanaume kuwa mbea hivi hata hainogi wenzio wanatafuta maokoto we upo umbea umbea tu watakuoa na bora uolewe na mwanamke kuliko mwanaume mwenzio
 
Mwanaume kuwa mbea hivi hata hainogi wenzio wanatafuta maokoto we upo umbea umbea tu watakuoa na bora uolewe na mwanamke kuliko mwanaume mwenzio
Kuna watu wapo serious sana hapa JF aisee,
Yani mtu anajua ID za watu za zamani mpaka mpya!

πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…