Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
π€£π€£π€£πππππBasiii basiii..
Haya tukutane kule...πππ€ Now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£πππππBasiii basiii..
Haya tukutane kule...πππ€ Now
Wee wametufungia na kule dooh.π€£π€£π€£πππππ
Hamna mkuu, mambo tu yamekua mengi nikiingia nasoma nyuzi juu juu na kutokaUmepoa sana
Mbona anajibu kila mtu na yuko very peaceful SJAWAHI ona akibagua labda ni kwa jinsi utakavyomuendeaephen_ nijibu na mm comment zangu kama wengine
Achana nae huyo! Nishamjua ni naniMbona anajibu kila mtu na yuko very peaceful SJAWAHI ona akibagua labda ni kwa jinsi utakavyomuendea
Tena kwa kuweka msisitizo,hiyo ID mpya akaamua kujiiita MrLoveJamaa hajiamini. Yani kafungua account mpya, wakati angeweza kuja na I'd yake ya siku zote
Kuna mijitu ni midomo zege kweli aisee,kwanini asitumie ID yake tu,Achana nae huyo! Nishamjua ni nani
Mapenzi upofuNaipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba afungue ajajibu sijui nlmfanyaje id yk inaanza na e.... Nataka awe mbaka mama wa watoto wngu
Mwanaume mwenzio HUYO anaitwa ephen_ wewe jichanganye ukakutane na UKUNI sasa utaamua unaachia Linda litatuliwe au unapakaa Oil ChafuNaipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba afungue ajajibu sijui nlmfanyaje id yk inaanza na e.... Nataka awe mbaka mama wa watoto wngu
Mapenzi upofuMe nikiona mwanaume anachanganyikiwa na izi ID za kike uku JF huwa namuona kama mjinga tu. Kwanza utampendaje mtu usiemjua ?
Ila mimi huyo ni jirani yangu,pia ni Dada yangu,hiyo comment yangu haimaanishi kua nimetongoza.Huyu Lamomy keshatongozwa na kila mtu humu.
Kasoro mimi tu
Ni wewe acha kuzugaMkuu sijaona jina langu kwenye uzi
Sio mimi
Basi sawa.Ila mimi huyo ni jirani yangu,pia ni Dada yangu,hiyo comment yangu haimaanishi kua nimetongoza.
Alianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,poromosha mitusi kam uyo jamaa apo juu
Mwanaume kuwa mbea hivi hata hainogi wenzio wanatafuta maokoto we upo umbea umbea tu watakuoa na bora uolewe na mwanamke kuliko mwanaume mwenzioAlianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,
WHO IS NEXT? Maua Sama Komasava?
NB: HAO wote nimewataja hapo sasa wamepoa km UJI wa mgonjwa wameshapata visugulio vya JF sasa wametulia tuliii ukimuondoa Lamomy na Kapeace
''MP'' una maanisha nini?Basi sawa.
Kuna MP mmoja wa mchongo humu huwa anasema hivyo hivyo
Kuna watu wapo serious sana hapa JF aisee,Mwanaume kuwa mbea hivi hata hainogi wenzio wanatafuta maokoto we upo umbea umbea tu watakuoa na bora uolewe na mwanamke kuliko mwanaume mwenzio