Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hao mbuzi wa Mpwapwa ndio wako hivyo
jikaze ueleze hisia zako, usione sooo sema nae.........
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!
Kwa kiwango kikubwa, inauma kusema lakini ndivyo ilivyo, hapa kwetu hatufati sheria wala maadili. Umeona humu kwa mfano, watu wanajisifia nyumba ndogo kama kwamba ni jambo la halali kabisa na sisi tunashangilia; walimu wanatembea na wasichana umri wa watoto au wajukuu wao na bado tunawapongeza. Heshima, sheria, maadili yako wapi!MAMMAMIA kwani hapa kwetu kuna kinachofuatwa basi?? Yaani ninashangaa sana sijui ni kitu gani ambacho tunakifanya na tunakifanya sawa.
wadau wa jamvini, ukweli tumekuwa tukishauriana mengi tena kwa ustarabu na busara ya hali ya juu. Mimi ni mwanafunzi ktk chuo fulan hapa Dar, nimetokea kuwa na hisia za kimapenzi kwa mwanamke mmoja mrembo, mhadhiri mwenye hadhi ya Udokta PhD, Si wamakamu sana bt ni mrembo, mwenye tabasamu la ushawishi. Nashindwa nimweleze au laah! Na sijui ntapomwambia Reaction yake itakuwaje bt NAMPENDA KI UKWELI, Please wadau nisaidieni kwa ushauri, mwenzenu nipo njia panda!
we anatafuta sap eeeh!mwamabie2 akikutosa utakaa chn utalia
pole sana
Nampenda kweli huyu mwanamke ndugu zangu, nipo mwaka wa tatu sasa, nadhan atakuwa na umri wa miaka 8 mbele yangu bt shep ipo normal, was was wangu nikitoswa Itaniuma sana, then anaweza NIDAKA CLASS!
Laiti ningewezahisi ni chuo ganiYah ananifundisha Research Methodoloy teh! Ni lekchala wa class langu kabisa!
Nimecheka mpaka basiiLaiti ningewezahisi ni chuo gani