Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

Ahsante kwa kuniambia. Nilijuaga tu FL1 ananipenda lakini hana ujasiri wa kunifungukia.

Ni kweli mkuu mara nyingi sana huyu dada huwa anakusifia sifia..hata kipindi ukiwa kifungoni nilimsikia mara kadhaa
 
Kumbe mlikuwa mnatiliana tu kiwingu?
umefanya maamuzi makali..i dont trust ths word "what goes around come around"!!

ndio hivyo shem.....,
nimebembeleza nikachoka i decided to move on
sa si unaona watu kama kina Excellent mambo yao hapo juu
 
Last edited by a moderator:
ndio hivyo shem.....,
nimebembeleza nikachoka i decided to move on
sa si unaona watu kama kina Excellent mambo yao hapo juu
!uɐnɟ!ʞ ɐ!ʇɐqɯnʞnʞnʞ ɐu ɐʇnɟ!Ⴈɐʇ!u !zoႡɔ ɐu ɐʍ!ʞn'ɐႡɐɹnɟ ɐdnʞɐʇ!u !unznႡ ɐu ɐʍ!ʞn'nƃuɐʍʞ nq!ɹɐʞ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…