mtu yeyote akitangaza mapinduzi hata sasa namuunga mkono.......bora tu yasiwe ya kumpindua mke/mme wa mtu
Sasa Mrembo by Nature utakuwa unafanya mapinduzi au utakuwa unafuata mkumbo?
oooh!! mpe pole sana. kiplagati26
salamu zako nimeshazifikisha...
Alisepaaa! akirudi itakuwa poa sana, katulia mno!!
Siyo kama namjibia huyu jamaa, ana kauoga flani hivi!!
Afu anajaribu kufanya mapinduzi..
Ona nyie wakike mpaka sasa mpo lakini yeye mwanaume hayupo!
Mwambie aje basi..
Hivi wewe mdomo wako walishakukata? si umwambie mwenyewe.....alafu uache kazi ya kulamba watu miguu....ujue umeshakuwa mtu mzima! au unasubiri alarm ya kukukumbusha ndo ujue?
sijui kulamba miguu hata kidogo!! nabubuja au walinikataka midogo kiaje? na aliyekata unamjua?