Nampenda ila katiwa mimba

Anachosema kamwambia jamaa mimba imeharibika kwahiyo atajifungua vizuri tu alafu mtoto atalelewa na wazazi wake ili mimi niendelee nae nimuoe jamani mimi nisije rogwa tu huyu mtoto hataki kuniacha tena na kaapa haniachi
Unatuchosha agghhrrr😕😕😠
 
Anachosema kamwambia jamaa mimba imeharibika kwahiyo atajifungua vizuri tu alafu mtoto atalelewa na wazazi wake ili mimi niendelee nae nimuoe jamani mimi nisije rogwa tu huyu mtoto hataki kuniacha tena na kaapa haniachi
Piga chini huyo
 
Usije ukaamini maelezo ya msichana hata siku moja akishazaa tu atarudisha mahaba kwa baharia wake na mabaharia wengine wewe endelea kupiga tu kama wapigaji wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tehe..tehee.......tehhee...... natamani ningekuwa kwenye nafasi yako!
nakushauri kama unampenda kweli na unafikiri unamalengo naye endelea naye na mimba isitolewe kubali kulea mtoto wala usiogope ipo siku utalea wakwako pia.
bora huyo anamtoto mmoja kuliko kwenda kuoa hawa wanawake ambao watoto walikufa kwa kukusudia unakuta unaoa mwanamke tayari alishazaa watoto wanne lakini hakuwalea matokeo yake tunayajua hivyo kwa ushauri wangu kama anakufaa chukua.
 
Tatizo kuchapiwa mkuu jamaa atapasha sana vipolo ujue
 
Wahenga 11:1-2
Ukipenda boga penda na ua lake.
Mimba sio ugonjwa wala ulemavu ni ya miezi 9 mambo yatakua mukide.
Komaa nae
 
Amepata upendo wa ghafla kwako ili umsaidie kulea mimba na mtoto mtarajiwa.
 
Mimi huyu wangu nampenda ila ameshaolewa.
 
Kitendo cha kumkubali huyo mchizi huenda kuna mambo ambayo huyawezi ! Ujue kwamba hata ukimuoa atatoka nje ! Kama umezidiwa , penda boga na ua lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…