Nampenda ila katiwa mimba

Mzee baba siyo kwamba anakupenda, ila anataafuta pa kuweka kambi baada ya huyi baharia kuonekana hana mpango. Yani wewe ni plan B umesea kabisa baharia hana mpango hata wa kulea mimba. Hapo si kwamba ana option bali wewe ndiye uliyebaki kama baharia angekubari kulea mimba amini wewe usingeambiwa hayo maneno.
 
Huyo aliyemtia mimba akimuhitaji tena inakula kwako
 
she's coming from poorest family na madai yake yeye ni kwamba before hakujua kwamba nampenda, sure mwanzo nilimchukulia tu nipite nae baadae ndio mapenzi yanakolea na msala huu umetokea, alisema before alikuwa anachukulia class yake na yangu tofaut ivyo siwezi mpenda but alipokuja gundua upendo wangu kwake ni wadhati ndipo ilikuwa too late keshapata mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…