Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

Nampenda ila kila nikichat nae kwa sms ananiita "bro"

Naona kama unakta tamaa mapema. Mimi ilinichukua miaka miwili kupata jibu la ndiyo kutoka kwa mchumba wangu ambaye sasa ni Mke wangu. Uwe mvumilivu tu mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Asa unaogopa nini kutiririka? Mwanaume zake ni-vibuti bwana! Wagoshi tunasema tihrihrika mjomba!
 
Kabla ya yote lakini ni vema kucheki tuko wangapi kiongozi then swaga zifuate.
 
tatizo vijana wasikuhizi kutongo hamjui,mara sms, Fb,eskimi na social network kama hizi,enzi zetu hatuwa na vyote hivyo tulikuwa tunachana live.naamini nikifungua kozi ya kutongoza nitapata wengi sana.
 
Afunguke na amwambie anampenda kwani tatizo ni nini?
Mwambie ukiongea nae unakua na amani na una wish ungekua nae karibu24/7 na popote unapokwenda yuko mawazoni mwako.
 
Imeshakula kwako,umeshamfanya amekuwa zaidi ya rafiki sasa ni dada na kwamaelezo yako cdhani kama unaweza kumbadilisha.
Ili usizidi kuumia moyo kubali kwamba yeye ni dada yako maana naona ulitaka utongozwe bila hata kumfanya awe interested na wewe!.....
 
sasa kaka akuite nani wakati bado si wapenzi me naona anahaki ya kukuita bro
 
Hivi vijana wa siku hizi wana matatizo gani??!!! Mbona mi sioni tatizo hapo
 
Funguka kabla hujachelewa mwambie ukweli umri siyo tatizo sana ktk uhusiano
 
Kaka unachelewa piga mistari ataeleweka tuu ukichelewa akienda chuo utamsikia tuu, na uckate tamaa kaka mambo haya ni slowly bhana we piga kambi faster.
 
kweli kazi ipoooo...na hii inaashiria by 2025 lazma wanaume woote mtakuwa mnatongozwa na kuolewa..

ndo maana cameruni david wa uingereza akataka awahi mapemaaa apewe coloni wawe wanakuja kujichukulia "wanawake" wenye-jinsia ya kiume.

bak 2 the topic....dogo umewekewa fence ya gazeti unachanganyikiwa je ungekuwa ukuta wa berlin si-ungelia weye...navyokuona wewe ungekuwa "muarabu" usingekula au hata kuoa binamu yako aka mtoto wa ankali ... yani forward butuuuu mpaka unatia kinyaaa....

wewe kuitwa kaka unajibaraguuuza na kushindwa ufanyeje..je ungekutana na "shkamoo baba mdogo" si ndio ungeangua kilio kama umefiliwa.

Pia naona hujawahi kukutana naye live zaidi ya kuiba namba yake sehemu na kuanza kutuma sms za "kitoto" wakati unahitaji mambo ya "kiutu uzima"...age difference is nothing at oll..just wake up you old fella.

Next tyme sms zako ziwe na maneno yenye ladha ya kima-habat kama honey, luv, swirrry, dear, mpenzi, wa-ubani, na kadha-wa kadhalika... pia jifunze mistari yenye swagga zake na uwe mwepesi wa kutoa..

ANAENDA CHUO HUYO akishafika chuo huna chako.

Una element mbaya kichwani mwako wewe! Any way 'Who Cares'?
 
Back
Top Bottom