kweli kazi ipoooo...na hii inaashiria by 2025 lazma wanaume woote mtakuwa mnatongozwa na kuolewa..
ndo maana cameruni david wa uingereza akataka awahi mapemaaa apewe coloni wawe wanakuja kujichukulia "wanawake" wenye-jinsia ya kiume.
bak 2 the topic....dogo umewekewa fence ya gazeti unachanganyikiwa je ungekuwa ukuta wa berlin si-ungelia weye...navyokuona wewe ungekuwa "muarabu" usingekula au hata kuoa binamu yako aka mtoto wa ankali ... yani forward butuuuu mpaka unatia kinyaaa....
wewe kuitwa kaka unajibaraguuuza na kushindwa ufanyeje..je ungekutana na "shkamoo baba mdogo" si ndio ungeangua kilio kama umefiliwa.
Pia naona hujawahi kukutana naye live zaidi ya kuiba namba yake sehemu na kuanza kutuma sms za "kitoto" wakati unahitaji mambo ya "kiutu uzima"...age difference is nothing at oll..just wake up you old fella.
Next tyme sms zako ziwe na maneno yenye ladha ya kima-habat kama honey, luv, swirrry, dear, mpenzi, wa-ubani, na kadha-wa kadhalika... pia jifunze mistari yenye swagga zake na uwe mwepesi wa kutoa..
ANAENDA CHUO HUYO akishafika chuo huna chako.