unalalamika kuitwa bro?
mbona wanawake wengi ndio swaga zao kama hawana interest...
na kama ivyo ulivyomzidi umri, ingekuwa mimi ningekupa shikamoo (yaani hii mbinu inawamalizaga kabisa wanaume)
kuna mmoja aliuliza, baada ya kupewa shikamoo "unataka kuninyima nini"? nilichoka lol! kuna wanaume hawakubali kushindwa. iga mfano