Nampenda ila nimempa masharti,akishindwa nampiga chini.

Nampenda ila nimempa masharti,akishindwa nampiga chini.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Ni mtoto mmoja mzuri sana hapa mtaani.
mashallah,ameumbika na sura yake inavutia.
baada ya kumuona ona mtaani akipita pita niliamua kurusha ndoano na samaki akajileta.
ila sasa kwa siku ya tatu toka alipokubali nimempa masharti yafuatayo:
=kwanza afute make up yake yote na akae siku mbili bila ya kujikwatua ili nimjue kama ni mzuri au ni mvunja dressing table tu.
=sharti la pili,nataka kumuona anapotoka ushingizini anakuaje.
asipofanya yote hayo nambwaga puuuuu.
#HATUTAKI-WANAWAKE-LIVE .
 
Sasa hizo mambo za makeup zinahusu nini mkuu jamani
 
Unaweka masharti kibaao utadhani mwanaume uko peke ako.
By the way, hukumpenda ulimtamani. Sasa unajilazimisha kumpenda.
 
Back
Top Bottom