Nampenda lakini naogopa kibuti

Nampenda lakini naogopa kibuti

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Wadau kuna dada humu mie nimetokea kumpenda sana. Si upendo wa agape bali ni ule wa kimapenzi kati ya mwanamme na mwanammke.

Kulitaja jina lake naogopa lakini linaanzia na D. Nimechanganyikiwa mdau mwenzenu. Naogopa kupigwa kibuti. Nifanyeje mwenzenu?
 
umependa avatar yake au comment zake...... Cause as you know avatar looks might be deceiving
 
Haya Jasiri huyo D ameshaanza kukupa changamoto! Mwaga seraaa!!:juggle:
 
umependa avatar yake au comment zake...... Cause as you know avatar looks might be deceiving

Wewe nae mbona huna dogo avatar yangu inamaanisha mie ni RC original. Wivu huo jamani ha ha comment au avatar hajavitaja
 
Dena binti Amsi. Hujambo kisura wangu?

mmmmmmh,hebu Jasiri acha hayo mambo basi!tafadhali bana, ujasiri wako usiwe kwa waliomilikiwa!
siku zote tunaokamua maziwa huwa tupo kimya, ingawa mchungaji ni mwingine!
 
Back
Top Bottom