Nampenda Lakini naogopa kumwambia!

Bwire Emanuel

Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
25
Reaction score
7
Nimetokea kumpenda msichana mmoja hivi, kiukweli anavutia. Tatizo langu nikwamba naogopa kumwambia. Dada huyo anafanya kazi crdb geita. Nifanye nini? Kila nikimuona mo yo unafanya Pah! Dah amakweli mapenzi ugonjwa.
 
Kama teller Peleka sh. 5,000,000 CRDB bank dirishani kwake kila siku utaona matokeo yake
 
Tafuta 4n no yake ulete hapa tukusaidie fasta! Chelewa chelewa utamkuta mwana c wako! We lete no tukusawazishie ndege asije akaruka mkuu!
 
Mwanaume muoga sio rijali kamili. Mwambie unachofeel bt usiwe mzinifu. Uwe na nia ya dhati nae atakapokukubali
 
Azima Ipad, piga suti ya Nguvu nenda dirishani kwake deposit 10M hata iwe ya kuazima halafu kesho yake unaitoa unamrudishia mwenyewe. wakati yeye anakuwekea pesa wewe act una browse kwenye Ipad hata km haina bundle lazima ule mzigo hachomoi kabsaa
 
Mwambie mie nakuhusudu kila nikikuona moyo unafanya Pah!!! Kwa jina naitwa Bwire Emanuel na wewe mwenzangu dawa ya moyo wangu mama wa watoto wangu watarajiwa waitwa nani?

Last edited by a moderator:
kaka ww co mtundu mfuate muombe kwa heshima kuwa kuna jambao unata kumuuliza yaani jambo lenyewe mwambie ni very agent atakukubalia akipata nafasi kaisha unashuka mistari kama mvua
 
Jipereke,halafu Ukifika Mwambie Ukweli Kuhusu Jinsi Unavoumia Serius Kabisa,inakuwa Vizuri Mkiwa 2 Ili Kupandishiana Mistari
 
Azima Ipad, piga suti ya Nguvu nenda dirishani kwake deposit 10M hata iwe ya kuazima halafu kesho yake unaitoa unamrudishia mwenyewe. wakati yeye anakuwekea pesa wewe act una browse kwenye Ipad hata km haina bundle lazima ule mzigo hachomoi kabsaa

Ha haaa,nimecheka! Nimondoa stress za jukwaa la siasa
 
Dah mkuu bwire nipm nikupe maujanja...nina mwanangu hapo crdb geita ni meneja flani kiwembe balaa...
 
Nimetokea kumpenda msichana mmoja hivi, kiukweli anavutia. Tatizo langu nikwamba naogopa kumwambia. Dada huyo anafanya kazi crdb geita. Nifanye nini? Kila nikimuona mo yo unafanya Pah! Dah amakweli mapenzi ugonjwa.

Kweli kutongoza kipaji mi nilijua miaka hiyo nipo form3,,,kumvua chupi m/mke kwa hiari yake si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…