Vumilia saba mara sabini.
Mkalishe umweleze huo wivu unakuboa.
kama haelewi, chagua kusuka au kunyoa.
we una wivu wa hivyo?
Hapana Mwajuma...wangu haste haste tu. Wewe je?
mi nina wivu sana..
Punguza
Urafiki wa mwanaume na mwanamke wasio na undugu kuna wakati ukivuka mpaka unashtukia watu wame do..unaanza taratibu then siku yanageuka,so mshikaji anahofia na pia huenda alishawahi kutendwa huko awali kwa style hizo hizo za class mate,ni rafiki tu,au work mate,mwisho wa siku akakuta mate anakula matehataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume hapo...ila nampenda wivu wake kero kero....naye anipenda sana sana...