Aisee if your her first lover to him just be mvumilivu. Anakuona ni lulu kuliko chochote anatamani hata akuweke mfukoni awe anakuona kila saa. Just show him your maturity na ujaribu kumjenga awe mwerevu wa maisha, mtoe out mkutanishe na watu mbalimbali, kifupi mfungue ajue what life is. Naamini ni experince ya wanaume wengi ambao huanza late mahusiano na kuyaona ni kitu exceptions. Ni maoni tu.