Nampenda ,lakini wivu wake ni balaaa

Nampenda ,lakini wivu wake ni balaaa

Aisee if your her first lover to him just be mvumilivu. Anakuona ni lulu kuliko chochote anatamani hata akuweke mfukoni awe anakuona kila saa. Just show him your maturity na ujaribu kumjenga awe mwerevu wa maisha, mtoe out mkutanishe na watu mbalimbali, kifupi mfungue ajue what life is. Naamini ni experince ya wanaume wengi ambao huanza late mahusiano na kuyaona ni kitu exceptions. Ni maoni tu.
 
mtambuzi atakusaidia, kuna wanaume wafujaji, mwisho wa siku atakupangia nani awe rafiki yako nani asiwe, hata familia yako atakwambia usiwasiliane nao...

Yan umeongea kweli,coz me pia nina m2 wangu kaamua kunipangia hvy na nikiwa nae siruhusiwi kupokea cm yyt,namvutia kas 2,soon ntamtua
 
Kwa kua umekijua kilema cha mwenzi wako ni Rahisi kuishi nae, kuliko usingejua

Chukua hatua za kujifunza nini ufanye ili usikwazike na wewe usimkwaze
 
Back
Top Bottom