enzi za ujana niliwahi kua na kituko cha aina hii, mpaka alidirika kuniambia eti kabila letu hatuna cha undugu. nilimbwaga mapema kabla ya saa 12 jioni. alibaki mdomo wazi maana hakuamini nilipomwambia its over na nimeshindwa sababu ya mivivu isiyokua na afya.
Asuke za pembeni anyoe kati
Asuke za pembeni anyoe kati
hataki,nipigiwe simu na rafiki yeyote wa kiume awe class mate,work mates,school mates,my homme friends...oooh! ushauri nifanyeje,vile anatamani hata mail zangu zote asome kama kuna mwamume hapo...ila nampenda wivu wake kero kero....naye anipenda sana sana...
Tena uwe Makin sana na huyo!anawezakua anakuharibia,na kukupotezea muda mwisho wa Cku akijakumwaga utabak huna ndgu.ila km una Future nae mvumilie ila mzoeshe utan ambao utampunguzia Wivumtambuzi atakusaidia, kuna wanaume wafujaji, mwisho wa siku atakupangia nani awe rafiki yako nani asiwe, hata familia yako atakwambia usiwasiliane nao...