Nampenda Ledada Wa Jf

ledada unaitwa huku my sister naona naelekea kupata mshemeji..
Nendeni uvunguni muyajenge tule pilau sisi..😋

Lkn mkuu utamuweza kweli maana dada yangu huyu ni dada dada kweli! Toto toto yeye sio figure ya mwendo kasi,Bali figure ya figunye na Toto tamu ya kiafrika kwa manjonjo na kadharika..😅

Jipange ndugu nakutakia heri na dada yangu huyu wa hiari..
 
Kuyajua haya, inahitaji uwe na hisia za mtoa mada
 
Kaka angu naona unaninyooshea na kunipindishia mambo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…