Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
ledada kuna ujumbe wako huku wahiii tena bado wa motooo. [emoji38]
Ipo siku ntakufungulia uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ledada kuna ujumbe wako huku wahiii tena bado wa motooo. [emoji38]
Usiogope hakuna dosari keshadata huyu hana pingamizi juu yako.. kamcheki mi Nile pilau ulete na wajomba dada yangu..😅Kaka angu naona unaninyooshea na kunipindishia mambo🤣🤣🤣
Ukiona hivyo ujue sijamwelewa mwathirika...My babuu,hutaki mkwe jamani🤣
Usisahau kunitagIpo siku ntakufungulia uzi
😅😅 Mchumba kaja wakati mzuri, kwani ushafanya shopping ya Christmas na mwaka mpya?Kumekucha na makucha yake.
😆😆😆😆ila weweAna chura?
Mkuu hebu tulia kwanza.Ipo siku ntakufungulia uzi
Mkuu hebu tulia kwanza.
Ushakunywa chai arif???
[emoji28][emoji28] Mchumba kaja wakati mzuri, kwani ushafanya shopping ya Christmas na mwaka mpya?
Nipo bro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] broo ivi upo kweli
😊😊😊😊😊Achana na mke wangu nitakuotesha busha wewe Sharobaro La JF..
Kidding