NAMPENDA MAGUFULI WEWE JE?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
643
Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?
 
Waumini wote wamevaa sale za cc.kuweni makini na huyu mtu kama alikula rambirambi za wahanga bukoba sembuse hizo?kuweni macho


Swissme
Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalum

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…