Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikal imeishiwa hadi wanakwenda kuchukua sadaka za waumini balaa sanaAnaziweza bongo movies
Waumini hawa si takataka tu, kwani wanajitambua wao ni nani, wako wapi na wanafanya nini? Si majuha tu!Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?![]()
Tuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisaniKitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?![]()
Alikuwa anachangisha hela za ujenzi wa kutanua kanisaYaani magufuli amekwenda hadi kuwachangisha watu kanisani kweli hapakazi tu
Swissme
Una hakika na usemacho..Waumini wote wamevaa sale za cc.kuweni makini na huyu mtu kama alikula rambirambi za wahanga bukoba sembuse hizo?kuweni macho
Swissme
Mfyuuuu!! Wewe ndiyo juha kuliko wote duniani...!!Waumini hawa si takataka tu, kwani wanajitambua wao ni nani, wako wapi na wanafanya nini? Si majuha tu!
Kuna madaraka mengine hupatikana kwa bahati mbaya tuuYaani magufuli amekwenda hadi kuwachangisha watu kanisani kweli hapakazi tu
Swissme
Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalumWaumini wote wamevaa sale za cc.kuweni makini na huyu mtu kama alikula rambirambi za wahanga bukoba sembuse hizo?kuweni macho
Swissme
Utaona jins waumini watakavyoliwa hapo yangu macho namjua sana huyo jamaa achelewi kusema hizi pesa sio za umma.Alikuwa anachangisha hela za ujenzi wa kutanua kanisa
Kwa nini unasema hivyo mkuu...Kuna madaraka mengine hupatikana kwa bahati mbaya tuu
Post sent using JamiiForums mobile app
aseeAlikuwa anachangisha hela za ujenzi wa kutanua kanisa