Kwanini unasema hivyo?!Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalum
Post sent using JamiiForums mobile app
Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatibaKwanini unasema hivyo?!
Kweli amejishusha, haswa.Tuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisani
Kwa nini unasema hivyo mkuu...
Kwanini unasema hivyo?!
Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatiba
Post sent using JamiiForums mobile app
Ina povu la uhakikakuna beer ina itwa the kick
Haswaaa! inapatikana kanda ya ziwaIna povu la uhakika
Post sent using JamiiForums mobile app
Mshana jr acha hizo!! Angefanya mzungu ungesifu ila kwa kuwa ni mwafrika unaponda. Pope ameshaosha miguu ya masikini watu wakasifu...! Tatizo ni Slavery Mentality tu mkuu!!Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatiba
Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna jipya zaidi ya maigizo, huyu kwa chuki na roho mbaya yake hakupaswa hata kugusa lango la kanisaTuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisani
Mkuu tulizo moyo,Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatiba
Post sent using JamiiForums mobile app
RC tunasema usihukumu usijehukumiwa!Hakuna jipya zaidi ya maigizo, huyu kwa chuki na roho mbaya yake hakupaswa hata kugusa lango la kanisa
Ni kwambaRC tunasema usihukumu usijehukumiwa!
Kutumikia kanisani ni kujishusha mkuu?Tuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisani
Msipende kuwapa wazungu daraja wasilostahiliMshana jr acha hizo!! Angefanya mzungu ungesifu ila kwa kuwa ni mwafrika unaponda. Pope ameshaosha miguu ya masikini watu wakasifu...! Tatizo ni Slavery Mentality tu mkuu!!
Ooh okay sawa nimekupata vema asante kwa ufafanuziMkuu tulizo moyo,
Bosi yupo likizo, hapo yupo chini ya uongozi wa kanisa kama muumini wa kawaida.
Bosi akaomba kutumikia kama alivyokuwa anafanya zamani, na akakubaliwa kukusanya sadaka.
Hiyo ni sehemu ya Ibada yake binafsi, na hayupo kama Raisi wa nchi.
Amechukua likizo na ameamua kupumzika nyumbani.
Ikiisha likizo yake atarudi kazini kama kawaida.
Akianza kazi na Protocol itachukua nafasi yake.
Nakusalimia mkuu.