NAMPENDA MAGUFULI WEWE JE?

NAMPENDA MAGUFULI WEWE JE?

Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalum

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwanini unasema hivyo?!
 
Tuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisani
Kweli amejishusha, haswa.
Ni ishara ya upendo na unyenyekevu.
Watu wanyonge ndio wenye nguvu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatiba

Post sent using JamiiForums mobile app
Mshana jr acha hizo!! Angefanya mzungu ungesifu ila kwa kuwa ni mwafrika unaponda. Pope ameshaosha miguu ya masikini watu wakasifu...! Tatizo ni Slavery Mentality tu mkuu!!
 
Nadhani kuna watu wamechangia kwa chuki humu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tuna Raisi jembe sana leo ameamua kuwa mtumikiaji kanisani yaani amejishusha hadi mtumikiaji kanisani
Hakuna jipya zaidi ya maigizo, huyu kwa chuki na roho mbaya yake hakupaswa hata kugusa lango la kanisa
 
Akisimama anawakilisha nafasi ya urais... Urais ni taasisi sio jambo binafsi hivyo lina taratibu zake kisheria na kikatiba

Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu tulizo moyo,
Bosi yupo likizo, hapo yupo chini ya uongozi wa kanisa kama muumini wa kawaida.
Bosi akaomba kutumikia kama alivyokuwa anafanya zamani, na akakubaliwa kukusanya sadaka.
Hiyo ni sehemu ya Ibada yake binafsi, na hayupo kama Raisi wa nchi.
Amechukua likizo na ameamua kupumzika nyumbani.
Ikiisha likizo yake atarudi kazini kama kawaida.
Akianza kazi na Protocol itachukua nafasi yake.

Nakusalimia mkuu.
 
Kudadadeki mleta mada!!
Yani ungekuwa jirani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
RC tunasema usihukumu usijehukumiwa!
Ni kwamba

Watu wengi wameathirika na Sera za Magufuli.
Katika harakati zake za kurekebisha makosa yaliyofanyika kabla yake.

Kuna watu zaidi ya elfu kumi wameathirika na timuatimua ya ufisadi, na matumizi mabaya ya ofisi.
Uhakiki wa vyeti.
Kusitishwa kwa nyongeza ya mishahara.
Kupunguza matumizi ya ofisi kama, kugharamia safari, semina, posho, overtime nk, ambazo zilizoeleka katika kuonheza vipato vya wafanyakazi.
Mambo hayo na mengine ndiyo yanayosababisha hasira hizi unazoziona.

Haya mambo yametuathiri wote, tuanze upya.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshana jr acha hizo!! Angefanya mzungu ungesifu ila kwa kuwa ni mwafrika unaponda. Pope ameshaosha miguu ya masikini watu wakasifu...! Tatizo ni Slavery Mentality tu mkuu!!
Msipende kuwapa wazungu daraja wasilostahili

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tulizo moyo,
Bosi yupo likizo, hapo yupo chini ya uongozi wa kanisa kama muumini wa kawaida.
Bosi akaomba kutumikia kama alivyokuwa anafanya zamani, na akakubaliwa kukusanya sadaka.
Hiyo ni sehemu ya Ibada yake binafsi, na hayupo kama Raisi wa nchi.
Amechukua likizo na ameamua kupumzika nyumbani.
Ikiisha likizo yake atarudi kazini kama kawaida.
Akianza kazi na Protocol itachukua nafasi yake.

Nakusalimia mkuu.
Ooh okay sawa nimekupata vema asante kwa ufafanuzi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duuuh, RETIRED, wauumini takataka/majuha, KWELI? Kwa kushiriki harambee? Rudi kwa Mungu wako!!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom