Nampenda Mamy Baby wa XXL clouds FM

Mkuu nakuunga mkono saut yake Nzur sana ILA Sura mkuu mm hanivutii kbs
 
Mkuu nakuunga mkono saut yake Nzur sana ILA Sura mkuu mm hanivutii kbs
Hata mimi nilipomuona kwa mara ya kwanza kwenye runinga ila sauti ndiyo iliyonipa uhakika. Sikuamini kwakweli, sauti na muonekano ni paka na panya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…